JAVA

Monday, April 27, 2020

Ibraah wa Konde Music ameachia nyingine

Yooh cheki video ya wimbo unaoitwa SAWA kutoka kwa msanii Ibraah wa label ya Konde music worldwide iliyochini ya msanii Harmonize.

Monday, November 16, 2015

DON'T BOTHER YA JOH MAKINI IMEGHARIMU 32 MILLIONS


Baada ya kufanya mahojiano na kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio rapper kutoka kundi la Weusi Joh Makini amefunguka juu ya gharama alizozitumia wakati wa

DIAMOND PLATNUMZ NA VANESSA MDEE WAFANYA MAAJABU KWENYE TUZO ZA AFRIMA



Weekend iliyopita zilifanyika tuzo za muziki za All African Music Awards 2015 maarufu kama AFRIMA Awards zilitolewa usiku wa jumapili wa November 15 Lagos, Nigeria 

Wednesday, October 21, 2015

NEW MUSIC: LADY QUEEN - IN MY BED

Huu ndio wimbo mpya wa Lady Queen aliouachia wiki hii, kwenye wimbo huu ametumia beat na melody za msanii maarufu kutoka nchini Nigeria 'Wiz Kid'. 

Tuesday, October 20, 2015

LADY QUEEN KUTIMUA MADANCER WAKE WOTE NA HIKI NDICHO ALICHOAMUA

Msanii anakuja vizuri kwa sasa kwenye industry ya music wa Bongo fleva Queen Esthon aka Lady Queen ambaye wiki iliyopita aliachia rasmi Audio ya wimbo wake wa 'In My Bed'.