Baada ya kuachia video yao ya Cheza kwa Madoido hivi karibuni kundi la Yamoto Band wameachia wimbo wao mpya unaitwa 'Imo' walioufanya studio ya Uprise Music iliyopo
Mbagala huku producer wa wimbo huo akiwa ni Fraga.
Mbagala huku producer wa wimbo huo akiwa ni Fraga.
Bonyeza hapa chini kusikiliza wimbo huo:
No comments:
Post a Comment