JAVA

Thursday, October 25, 2012

DAIMOND NA NAJMA WA MR.BRUE KUNANIIIIIIIIIII??????????????

kumekuwa na sema sema ya chini kwa chini kuwa yule mkali katika mziki wa Bongo fleva na Rais wa wasafi Daimond ana uhusiano na aliekuwa mpenzi wa Mr. Blue mdada wa kuitwa Najma.Tetesi hizo zilipamba moto baada ya kuonekana kwa picha za bathday ya daimond akiwa Mwanamuziki huyo wa kike aliekuwa anasoma Uingereza lakini kwa mujibu wa meneja wa Najma alisema ukaribu wa wanamuziki hao ni wa kikazi tu na si kizingine na uwepo wa Najma katika Bathday ya Daimond alikuwa kama mualikwa tu.

No comments:

Post a Comment