Thursday, October 25, 2012
SHILOLE NA BARNABA YAMEKUWA HAYOOO TENA???
Kuna tetesi zimezaa zimezagaa kuwa penzi lililovunjika kati ya mwanamziki mwenye sauti na uwezo mkubwa wa uandishi kutoka THT Barnaba wamurudiana na mwanamuziki ambae pia ni muigizaji mdashost Shilole na mapenzi yao yamepamba moto.pia tuliwahi kusikia Shilole kuwa anatoka na Ommy Dimpoz hivyo tetesi hizi zimeshtua wengi hasa ukizingatia Barnaba aalipata mtoto aitwae Stiven siyo kipindi kirefu!!!mh makubwa haya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment