JAVA

Tuesday, March 5, 2013

ME & U YA OMMY DIMPOZ NA VANESSA MDEE HIYOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkali wa muziki wa bongo flava ambae anafanya poa tz na nje ya mipaka ya tz Ommy Dimpoz ameachia video ya ngoma yake mpya ya Me & U aliyoimba na mdada Vanessa Mdee. Ngoma ya Me & U imefanya poa sn katika radio mbali mbali tangu ilpotoka hadi leo na video ya nyimbo hiyo imefanywa na Ogopa Djz na akizungumzia maamuzi ya kufanya na Ogopa video hyo Dimpozi alisema"Ogopa djz ni company kubwa ya video ambayo inafanya vizur dunia soo lengo kubwa ni kuusukuma mziki wangu kuwa wa kamataifa zaidi na inabidi nifanye video kali ambayo mashabiki wataipenda na itanipeleka mbali sana katika mziki wangu ndio maana hata video ya baadae niliamua kuifanyia South Africa"
          Ommy dimpoz amekanusha kuwa hakufanya video hiyo Me & U na Ogopa djs kwa sababu rafiki yake wa karibu Daimond Plutinum alifanya Video na Ogopa video ya nyimbo yake ya Kesho.
                   

No comments:

Post a Comment