JAVA

Saturday, June 21, 2014

MAPINDUZI YA VIPINDI VYA BURUDANI KATIKA RADIO TZ YANAANZIA KATIKA club fever

Mapinduzi rasmi ya vipindi vya burudani jijini dar yanaanzia hapa katika kipindi hiki vipindi vingi vinafanana ila hiki ni cha tofauti kabisa.Una nafaSI moja tuuu nzuri ya kukifwatilia na kujua vitu vingi sanaa hasa vinavyofanyika club .......... kama ni kijaja wa sasa ungana na Hancy Vipaji(the swaga presenter) kila jumaa pili saa 3 usiku hadii 6 kiukweli siyo ya kukosa

No comments:

Post a Comment