HILI NDIO CHUPA JIPYAAA LA MR NGORORO(Daimond plutnam)MDOGO MDOGO
Hili ndio chupa la msanii wa muziki wa bongo fleva ambae anaitangaza poa tz kimataifa kwa kazi zake nzuri ni Daimond Plutnam(mr ngororo) video hii ambayo tangu itoke imekuwa inasumbua sana katika tv mbalimbali ndani na nje ya tz. Wimbo unaitwa Mdogo mdogo ambao hapo mara ya kwanza ulivuja na baadae baada ya marekebisho akauachia lasmi na chupa la wimbo huo limefanywa na company kubwa ya video afrika na duniani ijulikanayo km Godfather ambayo imeshawahi kufanya na wasanii wakubwa duniania km vile P squer na Ay wa tz.
No comments:
Post a Comment