Yeeeeeeeeeeec comedy inalipa bn Tz hayo yamedhilishwa na mkali wa vichekesho anaefanya vizuri na staili ya usharo baro wa kuitwa Sharo Milionea(Sharo baro)baada ya kununua gari yenye dhamani ya milioni 15 aina ya Opra na nyuma akaiandika OOOOOH MAMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment