Msanii maarufu wa mziki nchini Marekani ajulikanaye kwa jina la LIL WAYNE aachia ngoma mpya ijulikanayo kwa jina la YUCK na amesema kuwa mashabiki wake wasim jaji kutokana na mashairi aliyoimba katika mzigo wake huo mpya aliongea hayo wakati akifanya mazungumzo katika kituo kijulikanacho kwa jina la MTV BASE.
No comments:
Post a Comment