JAVA

Friday, August 24, 2012

B.O.B KUACHIA MIXTAPE YA PILI

Msanii B.O.B amesema ata dondosha MIXTAPE yake ya pili ambayo hajaipa jina kabla ya mwaka 2013 na hiyo itakua kabla hajaachia album yake ya tatu, alitupiamo maneno hayo wakati akifanya interview na Bootleg Kev.

No comments:

Post a Comment