BERRY BLACK NDANI YA MWAMBAO FM BN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mtu mzima Berry Black kesho atakuwepo katika kipindi cha Viwango Mwambao fm Tanga atazungumza ishu kibao kuhusu mziki wake .Watakuwepo na vichwa vingine km Bagujee msanii kichwaa kutoka Tanga pia Omega Boys na THE SWAGA PRESENTA HANSY VIPAJI
No comments:
Post a Comment