Saturday, October 20, 2012
VIPAJI TANZANIA NA NEW FACE
NASHUKURUUU SNA MARAFIKI WOTE MUNAOTEMBELEA BLOD HII YA VIPAJI TANZANIA CHINI NA MAWAZO ENU NI BORA SANA HII BLOG NI MAALUM KWA HABARI ZA KIBURUDANI 2 NA POST YA MWISHO ILIKUWA YA TAREHE 5 MWEZ WA 9 NA KWA 7BU YA MAWAZO YENU MIMI HANSY VIPAJI NIMEAMUA KUFANYIA MAREKEBISHO MAKUBWA SANA CHINI YA DIZAINA MKALI NA MBUNIFU KATIKA MASWALA YA BLOGGER KUTOKA MOROGORO ANAJURIKANA KWA JINA LA SALIM CHUMA SOOOOOOO KAAA TAYARI KWA MUONEKANO MPYA WA KI ENTERTIMENT ZAIDI VIPAJI TANZANIA NDIO BLOD BORA TANZANIA!BARIDAAAAAAAAAA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment