Hiki ni kichwaa balaa kataka muziki wa Bongo Fleva wakuitwa Suma Mnazareti baada ya kuachana na Watanashati Enterment sasa amejapanga poa sana katika katika zake zake mpya.Akizungumza na 106.0 Mwambao fm Tanga katika kipindi cha Bongo Rhymes na The swaga presenta Hancy Vipaji Suma alisema"sasa hivi karibu nitaachia nyimbo yangu mpya niliyofanya kwa Mensen pia yawezekana nikaja na remix ya Chukua Tyime ambayo itakuwa na wasanii kibao yaan na nimerudi na kampuni yangu ya kushuti video kewa kasi mpya sana karubuni nitaacia video mpya kali nilizofanya"Suma ambaye anafanya poa na ngoma ya Chukua time alioimba na Ommy Dimpoz pia ndio mmiliki wa kampuni ya kushuti video ya MEGA PIX 20.
No comments:
Post a Comment