JAVA

Monday, September 3, 2012

VIDEO YA IZZO B UTARUDISHWA SOOOOOON






Izzo Bizness msanii wa hip hop kutoka Bongo baada ya kuachia video ya MWAKA JANA sasa yuko tayari kabisa kuachia video nyingine ambayo imebeba jina la UTARUDISHWA ambapo ndani ya wimbo huo amemshirikisha msanii kutoka Morogoro Belle 9. Video hii imetengenezwa na yule yule Dir ambaye alifanya video ya mwaka jana anajulikana kwa jina la Nick Dizzo kutoka E-Media.

No comments:

Post a Comment