Thursday, August 30, 2012
BEYONCE na JAY - Z.......ONE STAGE!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa mujibu wa mtandao wa Huffingto post ni kuwa mdashost Beyonce atamsindikiza mumewe Jay - Z katika tamasha la MADE IN AMERICA.Show hiyo itakayofanyika huko Pannsylvainia Beyonce atafanya kama splaizi na pia show hiyo itaenda sambamba na upigaji picha ambazo zitakuwa maalum kwa ajil Makala ya mtumzima Jay - Z.Tamasha hilo la Philly linatarajiwa kuwa na mashabiki 100,000
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment