JAVA

Thursday, August 30, 2012

TWANGA PEPETA KUFANYA UTAMBULISHO WA NYUMBANI NI NYUMBANI NA NA MSANII ALIE REJEA KALALA JUNIOR SOONNNNNNN!!!!!!!!!!!!


Bendi ya African Star(Twanga pepeta) hivi karibuni watatambulisha nyimbo mpya ya nyumbani ni nyumbani iliyotungwa na msanii alierejea kutoka Mapacha watatu Kalala Junior.Utambulisho wa nyimbo hiyo utafanyika hivi karibuni sambamba na kutambulishwa  kwa msanii huyo.Akizungumza Kalala Junior alisema kuwa amerudi Twanga Pepeta sababu ndio band iliyomtambulisha katika muziki Tz na pia alifunguka kuwa nyumbani ni nyumbani.

No comments:

Post a Comment