JAVA

Wednesday, August 29, 2012

AMAZONI NA VEDIO YA CHECHERUMBA.............AJA NA NGOMA MPYA!!!!!!!!!!

Mtu mzima Amazoni mkali wa ngoma ya Checherumba amengia studio kwa ajili ya ngoma mpya akizungumza na Bongo Rhymes ya 106.0 Mwambao fm na Bway Hancy Vipaji amesema soon ataaachia mzigo mpya ambao bado hajaupa jina.Mkali huyo anae milikiwa na Watanashati Entertiment chini ya  bosi Ustadh Juma na Musoma alifanya poa sana na mkwaju wake wa Checherumba uliouimba kwa radha fulani hivi za kiasili.Je kipya kipi kwa Amazon 2 stay 2ne bnaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment