JAVA

Wednesday, September 30, 2015

BARNABA ATOA SABABU ZA HIGHTABLE MUSIC KUWA KIMYA

Msanii wa muziki wa Bongo fleva kutokea THT lakini pia ni mmiliki wa studio ya Hightable Music Barnaba amesema kuwa harakati za Kampeni za uchaguzi zinazoendelea hapa
nchini kwa sasa ndiyo sababu ya studio yake kuwa kimya.
Akiongea kwenye kipindi cha Bongo Kali kinachorushwa na City fm Radio Barnaba amesema kuwa studio yake imesha produce nyimbo kibao ikiwemo ya Vanessa & Jux, Barnaba & Gnako nk ila wamezihifadhi baada ya uchaguzi kila kitu kitakuwa sawa.

Bonyeza hapa chini kusikiliza sauti ya Barnaba:

No comments:

Post a Comment