JAVA

Wednesday, September 30, 2015

HII NDIYO KAULI YA NIKKI WA PILI KUHUSU NYIMBO YAO MPYA INAYOKUJA SOON

Kundi la Weusi ni moja kati ya kundi ambalo limepata mafanikio makubwa kwenye industry ya Bongo fleva na kufanikiwa kufanya show kibao hapa Tzee na kupiga show nje ya Tzee.

Kundi hilo kwa sasa linajipanga kuachia nyimbo yao mpya baada ya kukaa kimya tangu mwaka umeanza bila ya kutoa nyimbo yoyote ya kundi huku kila mmoja aki-base zaidi kutengeneza nyimbo zake.
Sikiliza hapa chini alichokisema Nikki wa Pili juu ya ujio wa nyimbo hiyo na lini itaweza kusikika kwenye media:


No comments:

Post a Comment