JAVA

Wednesday, October 21, 2015

NEW MUSIC: LADY QUEEN - IN MY BED

Huu ndio wimbo mpya wa Lady Queen aliouachia wiki hii, kwenye wimbo huu ametumia beat na melody za msanii maarufu kutoka nchini Nigeria 'Wiz Kid'. 
Producer wa wimbo huu ni Kitaa.

No comments:

Post a Comment