Msanii anakuja vizuri kwa sasa kwenye industry ya music wa Bongo fleva Queen Esthon aka Lady Queen ambaye wiki iliyopita aliachia rasmi Audio ya wimbo wake wa 'In My Bed'.
Msanii huyo amewafukuza madancer wake wote ambao aliokuwa anawamiliki na sasa ameamua kutafuta dancers wapya wa kike.
Msanii huyo amewafukuza madancer wake wote ambao aliokuwa anawamiliki na sasa ameamua kutafuta dancers wapya wa kike.
Hii ndio namba ya kuwasiliana na meneja wake kama unataka nafasi hiyo +255 682 322 107.
Sikiliza sauti ya Lady Queen hapa chini:
No comments:
Post a Comment