Msanii wa Bongo fleva ambaye hivi karibuni ameachia Video yake mpya na inafanya vizuri kwenye TV Station zote Mabeste amaingia kwenye headline nyingine baada ya kuonyesha
tatoo mbili moja akiwa ameandika jina la mwanae Kenrick na nyingine kachora jina la mkewe Lisa. Hii ndio sababu iliyomfanya achore tatoo hizo.
tatoo mbili moja akiwa ameandika jina la mwanae Kenrick na nyingine kachora jina la mkewe Lisa. Hii ndio sababu iliyomfanya achore tatoo hizo.
Sikiliza hapa Chini sauti ya Mabeste:
No comments:
Post a Comment