Roberto amejipatia umaarufu mkubwa hapa Tzee baada ya hit single ya Amarulah kufanya vizuri kwa kushika chart za juu hapa Bongo.
Msanii huyo ambaye ni raia wa Zambia ameanza music long time na mpaka sasa amefanikiwa kuwa na album mbili, Baada ya Amarulah kufanya vizuri hii ni Video ya ngoma yake nyingine ameiachia inaitwa ‘Am gon love her‘ ft. Sebastian Dutch ni kutoka kwenye album ya Amarulah, video imefanywa Durban, South Africa.
Bonyeza hapa chini kuangalia Video hii:
No comments:
Post a Comment