JAVA

Monday, October 19, 2015

HUSSEIN MACHOZI ATOA SABABU YA KUANAACHIA VIDEO NA KWANINI HATAKI KUACHIA AUDIO

Hussein Machozi ni mmoja kati ya wasanii wa Bongo fleva wanaokubalika nchini Kenye mpaka ikafikia hatua akaweka makazi nchini humo na kufanikiwa kuachia nyimbo kadhaa
akiwa huko, Siku za hivi karibuni Machozi ameonekana kuwa mgumu wa kuachia Audio na badala yake anaachia Video tu na kuweka alama ya Mshangao kwa mashabiki wake.
Akizungumza na kipindi cha Mikito kinachorushwa na City fm Radio Hussein Machozi alifunguka juu ya sababu hiyo: 
"Muziki wa Bongo fleva kwa sasa unaonekana ni kwa watu wa upande flani ambao wanaamua kum-support msanii mmoja tu wakati bongo kuna wazanii kibao hasa Radio kibaozinakuwa hazitoi support ya kutosha sometimes mpaka utoe bahasha nzito ndio nyimbo zako zichezwe but kwenye upande wa TV kidogo wako fair unaweza ukaona nina-hit song kibao ila kwenye radio hazipati support ya kutosha ndio maana nimeona niachane na mpango wa audio niwe natoa Video pekee"- Hussein Machozi

No comments:

Post a Comment