Rapper kutoka nchini Marekani Wiz Khalifa ameweka rekodi kwenye mtandao wa Youtube baada ya video yake ya “See You Again” Ft Charlie Puth kuwa wimbo wa kwanza wa hip
hop kuangaliwa mara nyingi zaidi.
hop kuangaliwa mara nyingi zaidi.
Zaidi ya watu Million moja wamenunua wimbo huo na watu zaidi ya billion moja wametazama video yake hiyo.
Wimbo huu ambao ulikuwa maarufu sana baada ya kutumiwa kwenye filamu ya Furious 7 na ulikaa kwenye nafasi ya kwanza kwa wiki 12 kwenye chati za bilboard na kuwa sawa kwenye rekodi ya kufanya hivyo na nyimbo za wasanii kama Eminem na “Lose Yourself”.
No comments:
Post a Comment