Kesi ya Flora Mbasha na mumewe Emmanuel imefika ukingoni, Flora ambaye alifungua kesi hiyo ya madai ya talaka dhidi ya mumewe Emmanuel walifika Mahakamani kwenye
kesi hiyo.
Flora Mbasha ameiambia AYO TV kuwa "Emmanuel ni mume wangu bado nampenda ndio maana mpaka tukafunga ndoa tunamshukuru mungu hili limeisha na kila mtu anaamani ya moyo na tunampango wa kuongeza watoto wengine ambao ni mapacha uchaguzi ukipita" - Flora
No comments:
Post a Comment