Rapper wa muziki wa Hip hop hapa Tzee Wakazi aka Beberu ameachia single yake mpya inaitwa 'Natokea Dar' lakini kwenye wimbo huo ametumia beat na melody ya msanii
anayefanya vizuri akitokea pande za Nigeria Wizkid.
anayefanya vizuri akitokea pande za Nigeria Wizkid.
Bonyeza hapa chini kusikiliza wimbo huu:
No comments:
Post a Comment