IZZO BIZNESS AMEACHIA WIMBO MPYA AKIWASHIRIKISHA G_NAKO NA MWANA FA
Rapper kutokea Mbeya City, Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness ameachia wimbo wake mpya iitwayo Shem Lake amewashirikisha G Nako na Mwana FA, wimbo umefanyika
kwenye studio za The Industry chini ya producer Nahreel.
Chukua time yako kusikiliza wimbo huo hapa chini:
No comments:
Post a Comment