JAVA

Monday, October 5, 2015

HII NDIYO NGOMA NYINGINE YA VANESSA MDEE INAYOFUATA

Baada ya wimbo wake wa 'Nobody But Me' aliomshirikisha K.O kufanya vizuri ndani na nje ya Tzee sasa hivi mwanadada Vanessa Mdee aka Vee Money amepanga kuachia wimbo
wake mpya Jumatatu ijayo wimbo unaitwa 'Never Ever' na producer wa wimbo huo ni Nahreel kwenye studio za Industry.
Pia wimbo huo wa Vanessa ni miongoni mwa mwa wimbo wake ambao upo kwenye album yake ambayo amepanga kuitoa 'Money Mondays'

No comments:

Post a Comment