Baada ya kuanza kwa kusuasua kwenye ligi ya Uingerezahatimaye timu ya Liverpool imemtimua kocha wake Brendan Rogers, inasemekana Rogers alishajua hatima yake ndani
ya Liverpool kabla ya kucheza mechi na Everton waliyotoka draw ya kufungana goli moja kwa moja.
Makocha wanaopewa nafasi kuchukua nafasi hiyo ya kuifundisha Liverpool ni kocha wa zamani wa Chelsea na Real Madrid Carlo Ancelotti, kocha wa Ajax Frank de Boer na meneja wa zamani wa klabu ya Borussia Dortmund
No comments:
Post a Comment