Rapper Mabeste ameachia video yake ya 'Usiwe Bubu' huku director wa video hiyoo akiwa ni Adam Juma na video queen amemtumia mke wake aitwaye Lisa. Mabeste pia ameahidi
kufanyia video nyimbo zake zote za nyuma ambazo hajawahi kuzifanyia video hiyo ikiwa ndiyo project yake mpya kwa sasa.
Bonyeza hapa chini kuangalia video hii:
No comments:
Post a Comment