Baada ya msanii wa mziki wa Bongo fleva Mabeste kupanga kuachia video yake mpya ya 'Usiwe Bubu' ambao audio yake ilitoka kipindi kirefu sana kabla ya kuwa kimya kwenye
music kwa kumuuguza mkewe na baadae aliporudi tena ndio aliachia wimbo wake wa 'Ulisimama Nami' ambao alimshirikisha Barnaba Boy.
Mabeste amefunguka kwenye kipindi cha Bongo Kali kinachorushwa na City fm radio na kutoa sababu ya kuamua kufanyia video wimbo wake huo wa 'Usiwe Bubu' ambao ni wazamani na kuuacha kuufanyia video wimbo wake mpya ambao uanafanya vizuri aliomshirikisha Barnaba.
Bonyeza hapa chini kusikiliza alichokisema Mabeste:
No comments:
Post a Comment