Jumapili ya Sept 27 2015 producer na rapa kutoka Marekani Swizz Beats aliweka kwenye instagram yake video za yeye na mtoto wake wakiburudika na
nyimbo za Diamond Platnumz.
nyimbo za Diamond Platnumz.
” Nilikuwa studio nikaambiwa tu jamaa kapost wimbo wake, baada ya dakika chache nikaona amenifollow ndio maana nikaweka picha nikiwa studio na Neyo ili akinifuatilia zaidi ajue jamaa niko powa sababu ya collabo za kimataifa, nilitaka kurepost Nana ila nikajua wanigeria watajua Swizz kasikiliza nyimbo kupitia Nigeria, nili repost Nataka kulewa ili kuwaonyesha wanaigeria ni muziki wa Tanzania unakubalika” -Diamond Platnumz
No comments:
Post a Comment