JAVA

Monday, September 28, 2015

TUNDA AMFUNGUKIA MAMA KIJA

Msanii wa mziki wa Bongo fleva kutoka kundi la Tip top Connection Khalid Ramadhan a.k.a Tunda man amefunguka juu ya wimbo wake mpya wa
'Mama Kija' atakaouwachia hivi karibuni. Tunda alifungaka kwenye kipindi cha Kali za Bongo kinachorushwa na City fm Radio. Sikiliza sauti ya tunda hapa chini kile alichokisema juu ya wimbo wake huo:

No comments:

Post a Comment