Nyota ya wasanii wa Tzee imezidi kung'aa baada ya Diamond Platnumz, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz kushinda tuzo za Afrimma zilizofanyika Dallas, Marekani. Diamond
amefanikiwa kushinda tuzo tatu ikiewemo ya Best Dance Video ya wimbo wake wa Nana, BestMale East Africa na Artist Of The Year.
amefanikiwa kushinda tuzo tatu ikiewemo ya Best Dance Video ya wimbo wake wa Nana, BestMale East Africa na Artist Of The Year.
Baada ya tuzo Diamond alipost picha kwenye instagram akiwa na tuzo zake na akaandika maneno haya "Dah, I really don't know what to say,...Dha! hata sijui nizungumze nini...(Eeh mungu baba tunakushukuru kw kuzidi kuunyanyua na kuupa thamani mziki wetu wa Afrika Mashariki.... tafadhali endelea kutushika mkono, usituache.
Naye Vanessa Mdee ameshinda tuzo moja ya Best Female East Africa
Ommy Dimpoz naye ameshinda tuzo moja ya Afrimma Best Newcomer
Hii ni orodha ya washindi.
Best Male (South Africa) – AKA
Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz
Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha
Best Male (West Africa) – Davido
Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee
Best Female (West Africa) – Yemi Alade
AFRIMMA Inspirational Song – Bracket feat. Tiwa Savage and Diamond Platnumz for ‘Alive’
Best DJ (US) – DJ Simplesimon
Best Newcomer – Ommy Dimpoz
Best Collaboration – AKA feat. Da Les and Burna Boy for ‘All Eyes on Me’
Best Dance Video – Diamond Platnumz for ‘Nana’
Best Video – Wizkid for ‘Ojuelegba’
Artist of the Year – Diamond Platnumz
Legendary Award – Yossou N’Dou

No comments:
Post a Comment