JAVA

Monday, July 7, 2014

MOMBA AACHIA DUBWANA JIPYAAA ..........................

Hit maker wa ngoma za mimi siyo sharo baro,Mdundiko,Kesho na nyingine kibao ambazo zilifanya poa snaa tz Momba ameachia ngoma yake mpya iitwayo BADO ambayo ameitengeneza yeye mwenyewe akiwa kama producer katka studio za Most REC.zilizopo Kigamboni. Momba baada ya ukimya hiyo imekuwa ni ngoma yake mpya na ujio wake mpya pia katika muziki wa bongo fleva na anaamini itakuwa ngoma kubwa na itakayosumbua katika madea mbali mbali tz . http://www.hulkshare.com/hancyvipaji/momba-bado[hulkplayer code="1a59uv9pz3kg"]

No comments:

Post a Comment