Zote ni hasira kuhakikisha muziki wa bongo fleva una zidi kutoboa duniani hii pia ni video ya Daimond Plutnam ft Iyanya BUMBUM iliyotengenezwa na directer Moe Musa kutoka Nageria ambae pia ndio alie tengeneza vedio ya Ommy Dimpoz ya wimbo wa Ndagushima
No comments:
Post a Comment