Msanii Shetta The Don wa Dastamina ana mpango wa kuanzisha lebo yake ya mziki tofauti na wasanii wakipata mafanikio hufanya biashara tofauti tofauti kama za maduka lakini yeye ameamua kuanzisha lebo ili awasaidie wasanii chipukizi kwa sababu na yeye alitokea huko.
No comments:
Post a Comment