JAVA

Friday, August 24, 2012

NDOA YA WATASHATI,SUMA MNAZARETI NA MENEJA MANENO YAVUNJIKAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!

mwanamuziki wa Bongo flava Suma mnazareti ameachana na kundi la Watanashati Entertiment.Kwa mujibu wa Suma amesema ametoka kwa sababu ya ubabaishaji wa mkurugenzi wakati huohuo mkurugenzi wa Watanashati Entertiment
Ostadh Juma na Musoma amesema amewafukuza Suma Mnazareti na aliekuwa Meneja wa kundi hilo Maneno kwa utovu wa nidhamu.

No comments:

Post a Comment