JAVA

Thursday, August 23, 2012

KICHUPA KIPYA CHA DIMPOZ SOOOOOOOOOOOON....

Baadhi ya vipande vya nyimbo ya Baadae ya Ommy Dimpoz iliyofanyika South Africa hivi karibuni itaachiwa siku chache zijazo. Video imefanywa chini ya lebo ya Next Level na  mtu mzima Adam Juma.

No comments:

Post a Comment