Thursday, August 23, 2012
BARNABA KWENDA UINGEREZA.
Msanii wa Bongo Flava Elias Barnaba (Barnaba) hivi karibuni atasafiri na kuelekea London, Uingereza kwa ajili ya Tamasha kubwa atakalo fanya na wasanii baadhi kama vile 2 Face, Fally Ipupa, Mr. Flavour na wengine kibao kutoka Afrika na mapato yatakayo patikana kutokana na kiingilio yataenda katika nchi wanazo toka wasanii hao kwa ajili ya kusaidia jamii. Pia amepata nafasi ya kumuandikia 2 Face chorus ya nyimbo ya African Queen kwa kiswahili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment