JAVA

Thursday, October 15, 2015

HII NDIO VIDEO YA BAADHI YA WASANII WAKIHAMASISHA WATANZANIA KUPIGA KURA

Ni siku 10 pekee zimebakia kabla ya uchaguzi mkuu wa Tanzania wa kuchagua viongozi ikiwa ni pamoja na Rais, Wabunge na Madiwani. Mastaa wa Bongo Fid Q, Mwasiti, Izzo
Bizness, Young Dee, Shilole na Shaa wameandaa wimbo maalum kwa ajili ya kuhamasisha Watanzania kujitokeza kupiga kura October 25 2015 unaitwa 'Piga Chata'.

Bonyeza hapa chini kuangalia video hii:

No comments:

Post a Comment