Saturday, July 12, 2014
BAADA YA UTEMWAA NA MR NGORORO ..........VJ PENNY APATA PETE YA UCHUMBA.............
Ishu ilikuwa kubwa baada ya kutoka na kubwagwa na DAIMOND PLATNUM ambae ni bwana wa aliekuwa shoga yake mkubwa WEMA SEPETU huyu si mwingine ni mdada ambae ni mtangazaji pia ni VJ&DJ tz VJ PENNY amethibitisha katika akaunti yake ya Instagram kuwa yeye ni mchumba wa mtu na tayari ameshaveshwa pete.......
baada ya ttesi sanaa mtaani ameamuwa kuweka wazi kwa kuweka picha ya kidole kikiwana pete alioveshwa ............. hilaaaa hajaweka wazi nani aliyemveshaaaa
picha ya kidole cha VJ PENNY kikiwa na pete ya uchumba.............
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment